utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
naam baba shikamooo ... huyu ni rafiki yangu tu baba
Marahaba mwanangu hujambo? Mama yako nimempa ua zuri sana, umeona?
naam baba shikamooo ... huyu ni rafiki yangu tu baba
Marahaba mwanangu hujambo? Mama yako nimempa ua zuri sana, umeona?
baba nimeliona ...alafu baba nimejua unipendi mimi
na light it up brada.....
kwani we mzito kutembea??ha ha ha litanyauka
mapiiiiiiiiiiiiiiii mtoto acha kuomba chukua lako hilo. View attachment 138640
Hapana mwanangu nakupenda sna tena sana...kwanini unasema ivo mama?
mbona rangi ya hatari??? kwani mimi na wewe tunaugomvi??
Hivi unaweza kweli ukaweka order ya zawadi mpendwa?
Wewe subiri tu babu akuzukie na matenga yake ya maembe, machungwa, na mitetea.....
Halafu mie nitaka nile na wajukuu zangu...ukienda nunua utatuletea??
Hapa naaona nahitaji msaada wa The Boss.....
ujanipa zawadi baba ya ua kama mama
Oooh mwanangu kwanini umeharibu suprise yangu? Nimeandaa kitu special kwa ajili yako...
baba sijaharibu baba okey okey naisubiri baba yangu nakupenda sana
unatoa kwa vifaa gani vile???si bado ujanipa nafasi ya kutoa bikra yako naisubiria
hahahaa utanigombanisha na shoga angu wewe
afu ujue nna mke humu ndani!!!.. anatuangali tu tunachofanya na kuongea!
punguza mirembuo basi mtoto mzuri!
jinywee basi upunguze hasira!
Niliona foleni imejb PM, nikaogopa nsijefia kwenye vifua vya vichenchede.
Toto mbeaaaa. Sasa naona hujipendi. Watu wanawakwepa #TeamBazazi wewe unaweka invitation.Shaurilo.Yes Thank You. Kwa hiyo am your valentine??