Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
kama nimekumisi hiviii
Afazali bwana umenimisi kabla ya Valentine.
kama nimekumisi hiviii
mmh!
hapo siji tena, sasa nibakiwe na nini ukishakimeza?
hunioni juu ya kilima hapa??
Hivi, kati ya Heaven on Earth na miss chagga nani naughty girl? Munaniachaga hoiii.
Miss neddy no 2 ni special kwako, tulikua tukitumia avatar ina moja ukachukia am sorry na happy valentine day.
Look on the brighter side. Enjoy it while it lasts.
Huwezi kuamini sasa hivi but ipo siku utamisi kweli kuwa alone miss neddy.
Afazali bwana umenimisi kabla ya Valentine.
ubakiwe nakialama tu kwamba kilikuwepo
Nimekuona tatizo hujaonyesha ishara na maajabu ya malovee unayajua??
nilikuwa natega tu kama ungesahau kutaja hiyo siku..
mzima wewe??
wa afya wangu...Mie mzima. Wewe je
kipo kama nyoka, huogopi kitakung'ata??
we mdanganye tuuWacha kumtisha mwenzio bhana lol...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hapa nilipo moyo una:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: yaani hunioni ninavyo:wave: na :smile-big: ??
eeee!!!Nshaona i see, ngoja niutie kasi kwanza! lol
Heaven on Earth ndo naughty girl mimi wala