Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

Valentine day;mchagulie member wa JF umpendae

Miss Chagga upo? Haya niambie huyo Valentino ni nani kwako mamito.
 
kwanini Unaona aibu sasa
Wana wenyewe tayari humu mtandaoni naogopa nisije mwagiwa digital tindikali lol. Basi mie rose la njano liwaendee wanawake wooote huku ni wengi mno siwezi kuwataja majina. Huwa nawa feel sana ma independent lady wooote wanaojua kusaka mavumba. Nawakubali pia wanaojua kuchuna lol salam ziwaendee this valentine nawatakia "kazi njema"! Nawapenda wote.
 
Babu Dark City, hahah kama unajipanga kuyaleta kwangu we nipe tu hiyo hela ntaendanunua mwenyewe hahah


Hivi unaweza kweli ukaweka order ya zawadi mpendwa?

Wewe subiri tu babu akuzukie na matenga yake ya maembe, machungwa, na mitetea.....

Halafu mie nitaka nile na wajukuu zangu...ukienda nunua utatuletea??

Hapa naaona nahitaji msaada wa The Boss.....
 
Last edited by a moderator:
ahsante sana my angel!

please accept this small gift from me!!

esq-valentines-day-gift-guide-012813-FJhqob-xlg.jpg



then please jiachie na hii chocolate mtoto mzuri!

valentines-day-gifts-for-her-1028363-flash.jpg


valentine hii lazima watuonee gere!!!

Creative-Valentines-Day-Gifts-For-Women.jpeg

yaani Excel hata mimi umenisahau eeeeeh
 
Last edited by a moderator:
Hilo ua la tano limetulia sana,namdedicetia na nyimbo nzuri ya its all coming back ya celine dion ikimburudisha/ikituburudisha as long as huwa anaingia humu as a guest hope anaweza kupata msg and i feel sory for what i have done to her, she didnt deserve it,

mhhhhhh....confessions of a bazazi amaa??!!
 
mzee mwenzangu, jimvua kubwa na radi usingizi ntaupatia wapi na huu umri?


Umesahau kuongeza kuwa na hali yenyewe ni kibaridi sana....

No wonder majority of the birthdays ni December to January.....lol!!
 
waaoooo, nyc flowers, ntamchagulia mpenzi wng mke wangu mtarajiwa. ngoja ni copy na kupaste zen nimtumie kwenye simu. hapa kwa JF du bado loading...............
 
Back
Top Bottom