Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Last edited by a moderator:
Wii nimekumisije naona mambo yako na Mapi hapo mmh
Alokuchagua outing ilikuwa temporary??????!!!!!!
waooooh!hahaha wifi acha tu namvutia kasi mapi ili nimseti, nimbold, underline na justfy halafu nim-preview then nimketishe safi kwa ajilli ya high table Jumamosi! lol
Sasa kama sina my valentine je
Me nasaka atakayekatiza ndiyo huyo!
Kumbe tuko wengi tusiokuwa na mavalentine
Nipo hapa fresh au?
Sasa tunafanyaje mamii
mmmmmmmmmmmh! umeanza linii?
hahahaDare to dream! lol
Ayaa, mapi ameshachukua nafasi; wait nakuweka RESERVE ama? lol
hahaa we ni nani sasa
mmmmmmmmmmmh! umeanza linii?
Nani huyo?
Hebu ninong'oneze plz,unaweza ukapishana na bahati hivi hivi ujue!!!!
mimi cute girl na sex girl na nice girl...wewe ndo naughty girl akuuu mie sitaki kama vipi afungue thread wanajamvi waseme wenyewe