hapo umenena ndugu:smile-big:Black wana radha nzuri sana,halafu wanavutia sana ki ukweli.
Wengi utawasikia "Huyu asingekuwa mweupe sijui angekuwaje" mara "weupe" unambeba, mweusi ambaye ni mzuri anaitwa "black beauty" lakin cha ajabu hakuna "white beauty", ni weupe unaonunuliwa madukan
Tindikali, upo msemo wao weupe, I believe it goes kua "white is wonderful" ila tafsiri yake ndo issue sijui wonderful positively au negatively.
Anyways wanaposema weupe una mbeba mara nyingi hua inakua kweli kwa baadhi ya wadada mana its common knowledge binti akipita kama ni mweupe chances za watu kutaka kumwangalia vizuri ni kubwa kuliko akiwa dark.
the roommate siyo, big up.The beauty is in the eyes of the beholder!
The beauty is in the eyes of the beholder!
Umeona eeh!heartbreaker....
heartbreaker....
teh teh teh!! pole mamaa!!!
heartbreaker....
Tindikali, upo msemo wao weupe, I believe it goes kua "white is wonderful" ila tafsiri yake ndo issue sijui wonderful positively au negatively.
Anyways wanaposema weupe una mbeba mara nyingi hua inakua kweli kwa baadhi ya wadada mana its common knowledge binti akipita kama ni mweupe chances za watu kutaka kumwangalia vizuri ni kubwa kuliko akiwa dark.
balck is beuty ndugu yangu mimi na wao ni damu damu
<br />Dena Amsi, usijali mpenzi tutawakamata padogo....
Black wana radha nzuri sana,halafu wanavutia sana ki ukweli.