Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Its simple,uzuri wake upo moyoni mwake.mwanamke anayejiheshimu,mwenye upendo,mchapakazi,mnyenyekevu,challenging kimaendeleo ndiye ideal......alafu miye nina kaugonjwa kakutotunza hela kwahiyo lazima ajue jinsi ya kuipangilia hela yangu na yake..shape hata pundamilia anayo kwahiyo haijalishi physically yukoje
 
Its simple,uzuri wake upo moyoni mwake.mwanamke anayejiheshimu,mwenye upendo,mchapakazi,mnyenyekevu,challenging kimaendeleo ndiye ideal......alafu miye nina kaugonjwa kakutotunza hela kwahiyo lazima ajue jinsi ya kuipangilia hela yangu na yake..shape hata pundamilia anayo kwahiyo haijalishi physically yukoje
Dr. ChiChi nimependa analysis yako bhanaaa, wewe umeenda mbali na kurelate na zile roles/functions afanyazo mwanamke ndani ya nyumba. MWANAMKE ATAPENDWA NA MWANAMME WAKE ENDAPO ATATAMBUA NIN MUMEWE HUPENDA NA KUFANYA VILIVYO. PIA MWANAMKE ANAPASWA KUTAMBUA MADHAIFU YA MMEWE NA KUWA SEHEMU YA USURUHISHO WA MAPUNGUFU HAYO. Akifanya hivyo ni dhahili mme wake atampenda na atakuwa mzuri machoni mwa watu!
 
umemaliza yooote niliyotaka kusema. uzuri wa mwanamke ni kwa mujibu wa mwanamume na vigezo vyake wengine hujali sura kwa vigezo vyao wanajua hii ni nzuri , wengine wana aina ya shape ambazo huzipenda, wengine aina fulani ya tabia n.k. n.k. hakuna vigezo vinavyofanana ili kumtaja mwanamke kuwa ni mzuri
Hapana, Ideal yaweza kuwa the same bt explaination tofauti, hebu tilia mkazo yako bwana! Ni kweli vigezo vya kuclassify hutofautiana!
 
hapa kaka naona mada kama vile haijakaa vizuri mimi naona ungekuwa specific kwamba uzuri wa mwanamke yupi wa kuoa na kuishi nae au wa kupiga gemu na kuishia hapa. sasa mimi naomba nieleze uzuri wa mwanamke wa kuchakachua ni kwamba uzuri wa mwanamke kama huyu hupo kwenye ile process ya kwanza unapotamani au unapokuwa na huruka ya mambo yetu, lakini akishakukubali , arsenal na chelsea zikaingia uwanjani haijalishi mechi imekuwa droo au 1-0 n.k unaishia hapoooooooooooo uzuri wote. sijachangia uzuri wa mwanamke wa kuoa na kuishi nae kwani sijaoa bado waliooa watusaidie.
 
Natumai hata wewe umeisha jiuliza hili swali, sasa kwa pamoja tujadili, na tuafikiane juu ya uzuri wa mwanamke. Swali hapa ni: "je uzuri wa mwanamke upo wap? Ni upi?" je ni mbele? Nyuma? Juu? Chin? Katikati? Ndani? Nje? Or? Kifupi binafsi cjaelewa. ukitaka jibu kwa ufasaha hebu make ur imaginatios kwa mke/mpenz wako, hususani penzi lako kwake!
Mmmmh uzuri wa mwanamke ni busara zake
 
Beauty Lies in the Eyes of a Beer Holder....., Seriously though...
uzuri wa mwanamke its a package (ni mambo mengi, depends na your priority)..

“You don't love a woman because she is beautiful, but she is beautiful because you love her ”

ni kweli unaempenda ndo unamwona mzuri. ila wengine wanamwona huyo huyo mbaya au wa kawaida sanaaaa
mapenzi yangu
 
Kama tungekuwa tunataka kujifunza,tungejifunza kwenye mahusiano yetu yaliyovunjika na ndoa zilizokufu na sababu zake!Tungebadilika sana kwenye suala la kuwa na mwenza!
 
Kama tungekuwa tunataka kujifunza,tungejifunza kwenye mahusiano yetu yaliyovunjika na ndoa zilizokufu na sababu zake!Tungebadilika sana kwenye suala la kuwa na mwenza!
Je unadhani kwa haya MAPENZI.COM yetu kuna kitu kwetu kujifunza? Tutaanzia wap?
 
ni kazi sasa,, uzuri wetu sisi tuwaulize nyinyi ? bcz nyinyi wanaume munakua munaangalia sana sura na maumbo then yaka wazuru ,hahaha,, sasa mtoa mada ,tupe jibu rasmiiii...:A S 114:
 
Dhana ya uzuri/ubaya ni pana sana: kuna uzuri/ubaya wa sura na uzuri/ubaya wa tabia. Hii ni kwa wote, wanaume na wanawake: Wapo wazuri wa sura na tabia, wazuri wa sura wabaya tabia na kinyume chake. Lakini kama walivyosema wengi, uzuri na ubaya umo katika macho na mawazo yako. Ninayemhisi mimi mzuri wa sura anaweza kuwa mbaya kwa wengine. Ninayemwona anatabia mbaya, tabia hizo hizo zinaweza kuwa nzuri au angalau kuvumilika kwa wengine. Uchaguzi ni wako, unataka nani na kwa ajili gani.
 
Husninyo unaniangusha bhana, utakubalije mambo kirahis? Hebu fafanua kwa nin umekubaliana na hoja ya Voice of Reason?
halafu gagu usijifanye unapinga ukweli hapa, unachokipenda wewe kwa mtu wengine wanaweza wasikipende na unachokichukia wengine wengine wanakipenda hvyo kumuona yule mtu mzuri. Kama hujaelewa uje tuition mpwapwa.
 
My mother's Boy friend I used to call him my Dad once told me as a man, "every woman on earth is beutiful of her own kind but a little thing to note on a woman is that her beuaty is defined with her actions and omissions, what make you feel her the way you feel is what she can make you feel in that way, she can stand unto both status a time if you want her to be so". Mke au mwanamke hata akiwa mzuri njinsi gani machoni pako, haimaanishi yu mzuri hivyo hivyo akilini kwako, atadumu kuwa mzuri iwapo atadumisha yale yanayokufanya ufikiri yeye ni mzuri kwako, akipoteza kamwe hawezi kuwa mke mzuri tena. Vionjo vyetu kwa wenzetu na ambavyo wakitufanyia ndivyo vinatupa raha na furaha ndivyo vitufanyavyo tudhani wao ni wazuri kwetu, bali wakifanya vikatutia uchungu wa shubiri kamwe hawawezi kubakia na uzuri tunaoweza kuwasifia.
 
halafu gagu usijifanye unapinga ukweli hapa, unachokipenda wewe kwa mtu wengine wanaweza wasikipende na unachokichukia wengine wengine wanakipenda hvyo kumuona yule mtu mzuri. Kama hujaelewa uje tuition mpwapwa.
So unataka tuamini kupenda ni relative issue? Ok! hata kama kuna tofauti kati ya huko kupenda ukweli unapaki pale pale kuwa kuna vi'element fulani vya uzuri ambavyo watu hupenda, hivi vi'element hufanana na hujenga kitu tuitacho "uzuri", sasa hoja hapa ni nin uzuri wa mwanamke? Mwanamke mzuri utamjuaje?
 
ni kazi sasa,, uzuri wetu sisi tuwaulize nyinyi ? bcz nyinyi wanaume munakua munaangalia sana sura na maumbo then yaka wazuru ,hahaha,, sasa mtoa mada ,tupe jibu rasmiiii...:A S 114:
Mmh wahida? Inamaana wanawake wenzio wazuri huwajui? Na kwa nin huwanote km wazuri?
 
Back
Top Bottom