My mother's Boy friend I used to call him my Dad once told me as a man, "every woman on earth is beutiful of her own kind but a little thing to note on a woman is that her beuaty is defined with her actions and omissions, what make you feel her the way you feel is what she can make you feel in that way, she can stand unto both status a time if you want her to be so". Mke au mwanamke hata akiwa mzuri njinsi gani machoni pako, haimaanishi yu mzuri hivyo hivyo akilini kwako, atadumu kuwa mzuri iwapo atadumisha yale yanayokufanya ufikiri yeye ni mzuri kwako, akipoteza kamwe hawezi kuwa mke mzuri tena. Vionjo vyetu kwa wenzetu na ambavyo wakitufanyia ndivyo vinatupa raha na furaha ndivyo vitufanyavyo tudhani wao ni wazuri kwetu, bali wakifanya vikatutia uchungu wa shubiri kamwe hawawezi kubakia na uzuri tunaoweza kuwasifia.