Ujengelele
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 1,253
- 22
Last edited by a moderator:
Mmhhhh Gagu njoo hapa basiNikuwekee lips zangu sikioniMwako nina neno tamu la kukunong'oneza...MmmmhhhhhhhhhWewe ni mzuri sana my dear, uzuri wako siwezi usema mbele ya hawa member. Ngoja waishie kuangalia nyusi zako teh!
MmmmhhhYou give me so much pleasure.....Afrodenzi anakila kitu nitakacho, make ur own assessment!
That's true swithat! Hahahahahaaaa!stand firmlyMmmmhhhYou give me so much pleasure.....
Mmmh! Jamani neno gani tena afro? Angalia lizzy asijetusikia teh! Si unajua ndie kiranja wa MMU?!Mmhhhh Gagu njoo hapa basiNikuwekee lips zangu sikioniMwako nina neno tamu la kukunong'oneza...Mmmmhhhhhhhhh
That's our Lizzy, akiamua kitu teh hutenda! Nimependa comments zako lizzy, umenipa kitu flan unique kwa explanations zako, bt kuna kitu umenichanganya hapa, umesema "Uzuri wa yoyote awe mwanamke au mwanaume upo machoni mwa mtazamaji" hapa sijapaelewa!Uzuri wa mwanamke uko kwa anaetazama pia kwenye hisia za anaetazama na kuukubali uzuri huo.Chuki...hasira hua vinafanya watu wasione uzuri wa mtu/kitu fulani...wakati mwingine hata kama uzuri unaonekana lazima mabaya yataonekana yamezidi hivyo kulemea na hata kupoteza uzuri wote.Mapenzi hua yanawafanya wengi waone mazuri zaidi ya mabaya.Mtu anaposema uzuri wa mwanamke uko kwenye tabia..sura..umbo na kadhalika ukweli unakuwepo ila vyote vinapingika.Yote inategemea na yule mtazamaji ambae anaeamua fulani ni mzuri au la...kila mmoja kwa wakati na vigezo vyake.Ndio maana unaweza kutana wapenzi ukajiuliza huyu dada/kaka kafuata nini kwa aliyenae ilhali mi namjua ana tabia mbaya sana ila umbo ni zuri....au mbona hata sura na umbo halilipi bali tabia yake inakubalika?!Yote hii inatokana na utofauti kati yetu.Na ndio maana kuna baadhi utawasikia wakisema mara sijui wanawake wazuri kwa umbo hawaolewe/oleki japo sio kweli.Wengi tu wameolewa hata wenye tabia nzuri maana wapo wanaune ambao sura na umbo ni namba moja kwao...wale unaoweza kuwaita ni wabaya nao wapo wasioolewa japo tabia zao ni nzuri sana.Kwa kumalizia nasema...uzuri wa yeyote awe mwanamke au mwanaume upo kwenye macho na hisia za mtazamaji!
No! Hii ni hoja tu ya kujadili, Mawazo yako ni muhimu sana!Upo kichawani mwake.....i mean IQ
Halafu nyimbo za zamani zilikua zinafunza kweli, watu (wanawake/wanaume)walikuwa wanafundwa kwa maneno ya hizo nyimbo.. Kwa sasa duh! Nyimbo zote zimejaaa kujisia na vimaneno ya kipumbafu! Kweli old is gold...unanikumbusha wimbo fulani wa zamaniiii ...'uzuri si hoja tabia njema ni silaha utapendwa popoteee ..." lakini haya ni kwa ajili ya mwanamke ambaye unataka kuwa nae kwenye serious relationship kama ndoa, lakini kwa wale ambao ni wakutambia tu barabarani, disko na mwishlo kuishia guestt house a.k.a nyumba za wenyeji basi sifa za makalio marefu, miguu ya bia, shingo za upanga, macho gololi n.k. ndio mahala pake.
Ofcorse nimeupenda! Una fact nyingi!huu ndo ufafanuzi ambao Gagurito alikuwa akiuhitaji.............................
klorokwini teh! teh! teh! Bible si ndio katiba yetu? Husninyo ni ustaadach bhana, mtake radhi..Huu si mstari wa biblia huu?, Husninyo bana yaani unadesa mpaka vitabu vitakatifu? khaaa!
Kweli klorokwin kapotea bhana!mhadhili umeacha kunifundisha baiolojia imebidi nisome bible. Ulipotelea wapi wewe?
Mwambie awashinikize madingi wake wakubari mahari yako teh!uliponipiga kibuti nikaamua nitimue tu bana isiwe tabu. na kuanzia kesho napotea tena mpaka ukubali ng'ombe wangu wa mahari.
Teh! Teh! Teh! Nyie mmepinda, naona vinyota nyota vya kopa machoni mwenu!walosema nimetulia ndio magrt thinkers wa ukweli. Kuna tetesi umekatorosha kapaseli, naomba ukarudishe kabla hakajakuchafulia hali ya hewa huko.
huyu ndie KIRANJA bhana! Ila comments zake hutoa changamoto kwetu, Lizzy anajua kuucheza vyema huu mchezo wa humu MMU! she is among those who runs the forum!Lizzy hebu punguza ukali jamani, mie nilidhani unanikalipiaga mie tu kumbe wote.....
Leo nipo na kisimu changu cha kichina, hiyo youtube video ni ya nin?
Nimemaanisha kwamba hata kwa upande wa wanaume ni hivyo hivyo.If i like a guy ill find him handsome in his own way japo watu wengine waweza wakawa wanamsema mshkaji anatisha.Mchukue 50cent na Ja rule for instance...binafsi nawafagilia sana na hua nafikiria wana sura nzuri za kiume na sio walaini laini kama kina Craig David ila wapo watu wengi wanawake kwa wanaume wanaowaita hawa wawili WABAYA.Wengine kwasababu hawawapendi na wengine kwasababu huo ubaya kwao!That's our Lizzy, akiamua kitu teh hutenda! Nimependa comments zako lizzy, umenipa kitu flan unique kwa explanations zako, bt kuna kitu umenichanganya hapa, umesema "Uzuri wa yoyote awe mwanamke au mwanaume upo machoni mwa mtazamaji" hapa sijapaelewa!
Natumai hata wewe umeisha jiuliza hili swali, sasa kwa pamoja tujadili, na tuafikiane juu ya uzuri wa mwanamke. Swali hapa ni: "je uzuri wa mwanamke upo wap? Ni upi?" je ni mbele? Nyuma? Juu? Chin? Katikati? Ndani? Nje? Or? Kifupi binafsi cjaelewa. ukitaka jibu kwa ufasaha hebu make ur imaginatios kwa mke/mpenz wako, hususani penzi lako kwake!
Nimekusoma mkuu Lizzy! Thanks yangu inafuata!Nimemaanisha kwamba hata kwa upande wa wanaume ni hivyo hivyo.If i like a guy ill find him handsome in his own way japo watu wengine waweza wakawa wanamsema mshkaji anatisha.Mchukue 50cent na Ja rule for instance...binafsi nawafagilia sana na hua nafikiria wana sura nzuri za kiume na sio walaini laini kama kina Craig David ila wapo watu wengi wanawake kwa wanaume wanaowaita hawa wawili WABAYA.Wengine kwasababu hawawapendi na wengine kwasababu huo ubaya kwao!
Sawa mkuu, umepotelea wap wewe? MMU HUONEKANI BHANA!uzuri wa mwanamke ni taBIA1 TABIA NZURI NDO KIGEZO CHA KWANZA.VINGINE VYOTE VITAEGEMEA HAPO.