Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 811
Imani hujenga mapenz boro then humfanya mwanamke kuonekana mzuri sana! Huji'behave!Nyote naona vihiyo tu. Uzuri wa mwanamke/mwanaume ni UAMINIFU, UPENDO, UELEWA WA MAMBO, MCHAPA KAZI bila kusahau MCHA MUNGU/MWENYE HOFU NA MUNGU.Hakuna binadamu mbaya hata siku moja, hayo yote ya sura, makalio ni ubinadamu wenu tu unawafanya muwe wabaguzi. Ina maana sisi tusio na makali au sura nzuri hatuko kwenye list ya wanawake?