sawasawa.........Siumwangalie wako uamue uko wapi!
Beauty Lies in the Eyes of a Beer Holder....., Seriously though...Beauty lies in the eyes of the beholder
Wana JF,
Pamoja na dhana iliyojengeka kuwa watu wanawake wote ni wazuri (Beuaty lies on the eyes of beholder), lakini ukweli utabaki pale pale bandugu: kuna baadhi ya wanawake/wasichana wamejaaliwa na mungu kwa kweli, ni wazuri sana kwa umbo, sura, tabasamu, pozi n.k akitembea au ukimuona unaweza sema huyu demu huwa haendi chooni lakini wapi! ni majaaliwa tu ya mungu kuwa amempa kila kitu na kumfanya awe mwanamke mwenye mvuto kwa mwanaume yeyote yule.
NB: Uzuri wa mwanamke unategemea sana Umbo/ shape, sura hilo nalo ni neno coz wenyewe wanasema mwanamke sura bana makalio hata mchina yupo!! Pamoja hayo yote pia suala la tabia nalo ni muhimu sana na hii itamuongezea sana GPA endapo atakuwa na tabia nzuri ktk jamii hivyo kumfanya apendwe au kuheshimika na kila mtu otherwise mhmhmh itakuwa haina maana hata ukiwa mzuri kiasi gani wakati tabia ni mbaya! Mfano demu mzuriiiii halafu anakuwa kicheche au changu na hilo huwa linawacost mademu wengi sana hapa bongo.
Utakuta demu mzuriii lakini haolewi kazi coz ya tabia yake ni mbaya na utulivu ni 000.00% wengi huweka tamaa mbeleeee!
TAMAA MBAYAAAAAAA by 20% ukitaka kujua hilo angalia wanaojifanya mastaa wa movies za kibongo hao wanajiita mamiss! Utajuta kuwafahamu!!
Mkuu utalist everything lakini beauty will always lies in the eyes of the beholder. Kumbuka wapo wanaopenda personality zaidi regardless of how beautiful the woman is. Mwanamke anaweza akawa na yote uliyotoja hapo juu, lakini kama hana personality, kwa wengine inaweza kuwa kuwa ni turn off. Wengine hata wakiwa sita kwa sita inakuwa issue. Ndio mana unakuta kuna wanawake wazuri wengi tuu hawajaolewa. Tafiti zinaonyesha kuwa wanawake wazuri, don't bother to built on their personalities. They use their beauty as a weapon. Na tafiti zinaoneyesha pia kwamba wanaume walioa wanawake wazuri sana, hufa miaka 10 kabla ya muda rasmi kutimia.
Pamoja na hayo beauty lies in the eyes of the beholder.
Utasikia mtua anasema fulan anamke mzuri, hapa napata kigugumizi, ILA K0NA TOFAUTI BHANA!Hakuna mtu/mwanamke mzuri au mbaya kijana ila kuna ujinga wa mwanadam wa kuweka makundi kwa wanadam,hii inatokana na ubinafsi wa mwanadam alionao!
Jadili topic hapo juu, usiruke ruke binti, unapotosha maudhui ya ujumbe, unaelewa nin juu ya uzuri wa mwanamke? Hii ndio mada!Siumwangalie wako uamue uko wapi!
Mkuu wataka sema tabia yashinda vyote? Usione soo kujadili vingine pia bhana!Uzuri wa mwanamke ni tabia,hayo mengine ni matokeo tuuuu wanaMMU
Hahahahahaaaa! Ningekua tanga au zenji ningesema hivyo coz mambo ya kule duh! Kwa kua nipo tz-bara/mikoa ya mashenzini nategemea majibu mengi mengi!najua unataka tukuambie,uzuri wa mwanamke ni BAMBUCHA.
Mkuu sasa waanza kunifumbua macho. Mmh!Beauty Lies in the Eyes of a Beer Holder....., Seriously though...uzuri wa mwanamke its a package (ni mambo mengi, depends na your priority).."You don't love a woman because she is beautiful, but she is beautiful because you love her "
It is too philosnphical, can u try 2 b specific? Yeah, for the sake of all MMU members pls.Beauty lies in the eyes of the beholder
Exactly. Mkuu Ngoswe km vile ulikua akilini mwangu, naweza sema Logic ya kuanzisha hii thread Wewe ndie uliyeifafanua kwa ufasaha, kuna tofauti bhana, na huo msemi wao wa "beauty lies on the eyes of beholder" sijui unakuwaje pale wale wanawake wazuri (kulingana na uelewa wa mtu) wanapo changanywa pamoja. Umetoa mifano mizuri, nadhani JF MMU MEMBER WATAJADILI NA HII POST YAKO PIA.Wana JF,Pamoja na dhana iliyojengeka kuwa watu wanawake wote ni wazuri (Beuaty lies on the eyes of beholder), lakini ukweli utabaki pale pale bandugu: kuna baadhi ya wanawake/wasichana wamejaaliwa na mungu kwa kweli, ni wazuri sana kwa umbo, sura, tabasamu, pozi n.k akitembea au ukimuona unaweza sema huyu demu huwa haendi chooni lakini wapi! ni majaaliwa tu ya mungu kuwa amempa kila kitu na kumfanya awe mwanamke mwenye mvuto kwa mwanaume yeyote yule.NB: Uzuri wa mwanamke unategemea sana Umbo/ shape, sura hilo nalo ni neno coz wenyewe wanasema mwanamke sura bana makalio hata mchina yupo!! Pamoja hayo yote pia suala la tabia nalo ni muhimu sana na hii itamuongezea sana GPA endapo atakuwa na tabia nzuri ktk jamii hivyo kumfanya apendwe au kuheshimika na kila mtu otherwise mhmhmh itakuwa haina maana hata ukiwa mzuri kiasi gani wakati tabia ni mbaya! Mfano demu mzuriiiii halafu anakuwa kicheche au changu na hilo huwa linawacost mademu wengi sana hapa bongo.Utakuta demu mzuriii lakini haolewi kazi coz ya tabia yake ni mbaya na utulivu ni 000.00% wengi huweka tamaa mbeleeee!TAMAA MBAYAAAAAAA by 20% ukitaka kujua hilo angalia wanaojifanya mastaa wa movies za kibongo hao wanajiita mamiss! Utajuta kuwafahamu!!
Teh! Mkuu fatilia mawazo ya watu, naimani unamengi wayajua though yamefungamana kiasi yanakutatiza, so kwa thread hii utafunguka!Mi siujui uzuri wa mwanamke,ila ubaya wa mwanamke ni unstable creature!!!