Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

But, we normally look for a person who you can modify and sort her/him to fit your interests and needs....! Fro example, to train her/him to adopt a behavior that you like, and staying away from your dislikes....!

That aint gonna happen so stop kidding yourself. You'll be disappointed if you think you can change a dickhead. Only God can do that! You'll be frustrated to find out you don't have that power.

The best thing you can do is to appreciate the best of your better half and focus of that, for the things you hate, pray about it! Otherwise you'll be pulling your hair everyday like a red headed hootchie.
 
1.Tabia.
2. Sura.
3. Umbo. Ingawa ni vgumu kumpata mwenye sifa zote. Mungu hakupi vyote.
 
khaa..!!how do you know,if you are a woman?
As for sweetness i think it depends how tight or wide you are down there and colour doesnt play a part.
I mean if a woman was loose ball at her young age she will be loose down there and no amount of colour whether black or white can make her sweet.
As for me i go for black,the white ones are always full of stretchmark like a zebra when they get fat.

Ebwana ndio upo wapi wewe?japo SAYONA 1 ulainishe koo tu.
 
tabia njema itokanayo na hofu ya Mungu ndiyo sifa nzuri ya mwanamke bora. aweza kuwa na sura over malaika lakini.......nyumba ikawaka moto...........be careful! ila ni budi nawe uwe na hiyo hafu ya Mungu ili kubalance......otherwise......yu a gone.
 
Mh haya sie tusubiri mseme wanaume then tujiweke kwenye makundi yetu
 
kwa kawaida binadamu wote ha2ko sawa...kuna baadhi ya wanaume wanampenda msichana mwenye sura nzuri,wengine mwenye umbo zuri,wengine mwenye macho mazuri,jinsi anavyotembea,kuongea na wengine wanaangalia tabia nzuri...sasa swali ni kwamba utaweza kumpata msichana mwenye sifa zote hizi...?

Kwanza elewa hivi, unaposema sura nzuri umejumuisha yoote yale ambayo yapo fizikal in apearens kama vile macho mazuri, tabasam bomba, mapozi ya uongeaji, shepu na hata upole, ucheshi, usmati na mengine mengi.
But what good for you is not necessary be good for me. Hivyo vile ambavyo umeguswa navyo moyoni mwako, ndiyo kwako ni vizuri hata kama viko vizuri ambavyo unavikubali kuwa ni vizuri kuliko vile uvipendavyo.
Haya, uzuri wa sura ni sehemu moja ya uzuri wa mtu ambaye sehemu ya pili ya uzuri wake inachukuliwa na tabia.
Kwa upande wangu mm, ktk kuangalia uzuri wa mwanamke kwanza naangalia uzuri wa sura coz hauihitaji muda kuuona. Pia uzuri wa sura ni kitulizo changu mm kwani sitoshawishika kwa wazuri wengine coz na mm ninaye wangu unless niwe siridhiki
 
kwa kawaida binadamu wote ha2ko sawa...kuna baadhi ya wanaume wanampenda msichana mwenye sura nzuri,wengine mwenye umbo zuri,wengine mwenye macho mazuri,jinsi anavyotembea,kuongea na wengine wanaangalia tabia nzuri...sasa swali ni kwamba utaweza kumpata msichana mwenye sifa zote hizi...?
Utampata wako utampendaa jinsi alivyo hata akiwa chongo we utaona anarembua tu
 
Inategemea mwanamke unamtaka wa nini. Kama ni one night stand nadhani wengi wanaangalia mvuto. Kama wa kuishi nae na kuanza nae familia, well mvuto una nafasi ila kama hana sifa za ziada (wife material) wengi wana drop the relationships and go for tabia.
 
Natumai hata wewe umeisha jiuliza hili swali, sasa kwa pamoja tujadili, na tuafikiane juu ya uzuri wa mwanamke. Swali hapa ni: "je uzuri wa mwanamke upo wap? Ni upi?" je ni mbele? Nyuma? Juu? Chin? Katikati? Ndani? Nje? Or? Kifupi binafsi cjaelewa. ukitaka jibu kwa ufasaha hebu make ur imaginatios kwa mke/mpenz wako, hususani penzi lako kwake!
 
Back
Top Bottom