google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
mpeni hi.. mzee wa kaya
Mwanaume anaongoza kubeba videmu kwenye vigodoro na madanguro..halafu kesho anataka kuoa mwanamke ana tabia nzuri..
Change ni wewe.
Ukiwa mwigizaji unapata type yako.
Ukiwa na tabia nzuri unapata type yako.
Lengo la kuruhusu multi ID lilikuwa jema hasa kwa verified user kama anataka kulipuwa bomu zito atumie ID mbadala lakini hawa watoto wanaharibu.
Hivi unafahamu Kikwete ni active Member mzuri wa MMU?
Vipi mkemwenza naona usiponitaja huoni raha. Bas namruhusu mume aje alale kwako leo upunguze stress. Umefurahi? Tabasamu bas
Usikute hata ya REALITY ni yake
ID tatu huyu makomana...75mm....mgiriki
Mkuu Matola mbona skuelewi hvyo unavyoviongea? Utawezaje kuunganisha id yangu na ya mtu mwingne?....... Npo tayar hapa kuweka majina yangu halisi na location yangu pamoja na picha yangu ili upate kulinganisha vizr. Na kama itakuwa kweli mm ntawajibika na kama hiki ulichokiandika ww si kweli naapa haki ya mama ntaonekana ninaroho mbaya mbele ya jamii hii.
Eid mubarak wana MMU,
Bila kupoteza wakati acha niende kwenye mada ambayo ningependa kuielezea. Kuna msemo maarufu sana kwamba UZURI WA MWANAMKE NI TABIA SIO UREMBO.
Huu usemi mimi ninakubaliana nao hasa pale linapokuja swala la kumtafuta mwenzi wako wa maisha ni lazima ujiridhishe kua tabia na mienendo yake, ni mizuri na imekuridhisha.
Tatizo linakuja jinsi ya kuitambua hiyo tabia ya mwenzi wako (mwanamke) unayetaka kufunga nae pingu za maisha, kwa kweli wanawake wengi kwa sasa wanavyojionyesha nje si vile walivyo ndani wanajua kufake tabia yao ionekana kama nzuri wakati sio kweli, kwa mfano mwonekano wa mavazi wa mwanamke unaweza ukazungumza tabia yake jinsi ilivyo ijapokuwa sio kwa asilimia mia.
Kuna mwanamke ambaye anaweza akawa anavaa nguo ndefu sana mpaka anaziburuza akitaka aonekane mwenye tabia nzuri lakini kumbe usiku utamkuta kwenye vigodoro au barabarani anajiuza ni kahaba.
Kwa sasa wanawake wengi ni waigizaji wazuri sana kuliko wasanii wa hollywood ijapokuwa huwa hawapati tuzo.
aaaah mkuu taratibu..presidaa the man himself..??,kinaniwasha kumjua..lolsLengo la kuruhusu multi ID lilikuwa jema hasa kwa verified user kama anataka kulipuwa bomu zito atumie ID mbadala lakini hawa watoto wanaharibu.
Hivi unafahamu Kikwete ni active Member mzuri wa MMU?
Watoto show.Mkuu Matola mbona skuelewi hvyo unavyoviongea? Utawezaje kuunganisha id yangu na ya mtu mwingne?....... Npo tayar hapa kuweka majina yangu halisi na location yangu pamoja na picha yangu ili upate kulinganisha vizr. Na kama itakuwa kweli mm ntawajibika na kama hiki ulichokiandika ww si kweli naapa haki ya mama ntaonekana ninaroho mbaya mbele ya jamii hii.
Twin Mods wabayaaa... I couldn't even imagine!
Twin.. Ngoja tumuundie fitna!
Eid mubarak wana MMU,
Bila kupoteza wakati acha niende kwenye mada ambayo ningependa kuielezea. Kuna msemo maarufu sana kwamba UZURI WA MWANAMKE NI TABIA SIO UREMBO.
Huu usemi mimi ninakubaliana nao hasa pale linapokuja swala la kumtafuta mwenzi wako wa maisha ni lazima ujiridhishe kua tabia na mienendo yake, ni mizuri na imekuridhisha.
Tatizo linakuja jinsi ya kuitambua hiyo tabia ya mwenzi wako (mwanamke) unayetaka kufunga nae pingu za maisha, kwa kweli wanawake wengi kwa sasa wanavyojionyesha nje si vile walivyo ndani wanajua kufake tabia yao ionekana kama nzuri wakati sio kweli, kwa mfano mwonekano wa mavazi wa mwanamke unaweza ukazungumza tabia yake jinsi ilivyo ijapokuwa sio kwa asilimia mia.
Kuna mwanamke ambaye anaweza akawa anavaa nguo ndefu sana mpaka anaziburuza akitaka aonekane mwenye tabia nzuri lakini kumbe usiku utamkuta kwenye vigodoro au barabarani anajiuza ni kahaba.
Kwa sasa wanawake wengi ni waigizaji wazuri sana kuliko wasanii wa hollywood ijapokuwa huwa hawapati tuzo.
Mkuu Matola mbona skuelewi hvyo unavyoviongea? Utawezaje kuunganisha id yangu na ya mtu mwingne?....... Npo tayar hapa kuweka majina yangu halisi na location yangu pamoja na picha yangu ili upate kulinganisha vizr. Na kama itakuwa kweli mm ntawajibika na kama hiki ulichokiandika ww si kweli naapa haki ya mama ntaonekana ninaroho mbaya mbele ya jamii hii.
Uzuri wa mwanamke sura, tabia ntambadili mbele mbele, nkishindwa ntacope nae, ntakuwa km yy!
Dah hiyo ya 75 mm hee kuna siku alinitukana na akome next time
Hahahaaaa...shouger mi nimecheekaaa...nikazimia ndo nazinguka sasa hivi lolest...