Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

hahaha like seriously..kumbe ni one person....hiv mbona watu wanapenda kupoteza muda hivi,id tatu for who ?for what?...kazi ipo
Lengo la kuruhusu multi ID lilikuwa jema hasa kwa verified user kama anataka kulipuwa bomu zito atumie ID mbadala lakini hawa watoto wanaharibu.

Hivi unafahamu Kikwete ni active Member mzuri wa MMU?
 
Lengo la kuruhusu multi ID lilikuwa jema hasa kwa verified user kama anataka kulipuwa bomu zito atumie ID mbadala lakini hawa watoto wanaharibu.

Hivi unafahamu Kikwete ni active Member mzuri wa MMU?

We nae umeamua kituchekesha
 
Hahahaaaa...shouger mi nimecheekaaa...nikazimia ndo nazinguka sasa hivi lolest...

nashukuru umezinduka maana..haka katoto kanajidai kanazidi watu akili kumbe vumbi tena la tope...
bata ni bata tuuu@makomana
 
Hiyo ID ya Makomana nilimshikisha adabu jana ikaunganishwa na ID yake ya Mgirik akome kutukana wakubwa.

kwakweli ulifanya vizuri maana hili jitu bichwa kubwa kama tikiti la bush lakini akili hakuna kabisa
 
Back
Top Bottom