Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

itakuwa kuna kipande cha bikra kimebaki, mbona anahangaika hivo....

sikilizeni huyu anajitoa fahamu huenda ana kipande cha bikira jf ID mbili mbili kudadeki afu anatutukana kila uchao sijui anataka nini walah
uzi wa single mom alitukana hadi keizer akaingilia utafikiri alizaliwa na mgomba....kila uchao mtusi juu ya wanawake tuu mara srepa kumbe ndo mgiriki??
watu wengine wanaboa sana
wooote tuliotuanwa
CC Dinazarde ,@kkantwe Vaislay honey of faith
 
Last edited by a moderator:
Hata wewe? kweli siku hizi mvi si kipimo cha hekima tena, na kipara wala si kipimo cha akili tena.

Sasa mie nitajulia wapi mkuu, sifatilii mtu zaidi ya kukomenti, kukwoti..ndo maana nikauliza mmejuaje? Kumbe kuna FBI humu, haya bwana!!
 
poleni marafiki zangu msameheni tu ajui alitendalo huyo
uenda ana matatizo ya kisaikolojia inabidi aje Kaizer amshauri
sikilizeni huyu anajitoa fahamu huenda ana kipande cha bikira jf ID mbili mbili kudadeki afu anatutukana kila uchao sijui anataka nini walah
uzi wa single mom alitukana hadi keizer akaingilia utafikiri alizaliwa na mgomba....kila uchao mtusi juu ya wanawake tuu mara srepa kumbe ndo mgiriki??
watu wengine wanaboa sana
wooote tuliotuanwa
CC Dinazarde ,@kkantwe Vaislay honey of faith
 
Last edited by a moderator:
sikilizeni huyu anajitoa fahamu huenda ana kipande cha bikira jf ID mbili mbili kudadeki afu anatutukana kila uchao sijui anataka nini walah
uzi wa single mom alitukana hadi keizer akaingilia utafikiri alizaliwa na mgomba....kila uchao mtusi juu ya wanawake tuu mara srepa kumbe ndo mgiriki??
watu wengine wanaboa sana
wooote tuliotuanwa
CC Dinazarde ,@kkantwe Vaislay honey of faith

heeeheeee nicheke mie......
ye alizaliwa na kuni ndomana akili yake inafuka moshi
 
Last edited by a moderator:
mke mwenza ni nani ambaye mnamzungumzia hapa mana sielewi hebu ninong'oneze basi my wiii

Mkemwenza acha tu....kuna li ID lilikuwa linaitwa li makomana lina mdomo mchafu kama mtaro wa maji machafu. Kumbe bwana ni Id ya mtu anajiita Mgirik na huyu mgiriki ye anajifanya mstaarabu sanaaa....arobaini imefika mods wamefanya yao
 
Last edited by a moderator:
alikuwa hajui kama mbinguni ni kuhesabiwa tu..
na badoo...alidhani atatubahatisha af kajikuta imekula kwake...aanze upyaaaaaa
na mkichwa wake ukue mara tisa

ha ha ha ha kwa kweli best
nimeheka sana kwa weli
 
mpendwa mm nishamsamehe since that day sinaga hta moyo wa kuweka haya kwa maana dunia yenyewe napita

ila nimechoka zaid pale ID ziliponganishwa na wewe kuendelea kuijtoa fahamu tu huyu mgiriki Comment kistaarabu ila makomana na 75mm balaa kumbe mtu ni mmoja.
MUNGU katuficha mengi
cc. ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Aiseee jamani kweli za mwizi zimemfikia au ndo yule amucus yule au nimefananisha best?
Mkemwenza acha tu....kuna li ID lilikuwa linaitwa li makomana lina mdomo mchafu kama mtaro wa maji machafu. Kumbe bwana ni Id ya mtu anajiita Mgirik na huyu mgiriki ye anajifanya mstaarabu sanaaa....arobaini imefika mods wamefanya yao
 
Last edited by a moderator:
heeeheeee nicheke mie......
ye alizaliwa na kuni ndomana akili yake inafuka moshi

Dah hafai kuna siku alikuwa anatukana kwenye uzi wa Jkt matusi makubwa kweli nikamwacha hans aibu huyu sijui kachanganyikiwa kupondea wanawake kwa kila kitu utafikiri yeye hajazaliwa bora kaumbuka aibu yake hadi kwenye.....
 
Bado kuna lingine pia huwa linamdomo mchafu yani likianza kuongea unaweza kudhania ni bata anahara kumbe ni domo la mtu
 
Dah hafai kuna siku alikuwa anatukana kwenye uzi wa Jkt matusi makubwa kweli nikamwacha hans aibu huyu sijui kachanganyikiwa kupondea wanawake kwa kila kitu utafikiri yeye hajazaliwa bora kaumbuka aibu yake hadi kwenye.....

watu wajinga huwa wanafikiri kutukana ni ufahari kumbe ni akili ya mende kuogelea kwenye bia
 
hilo boya lina ID nne...hiyo moja ya kupokelea pole za watu na kusifiwa anajidai kuifanya hapatikani...akija nayo anajidai kudanganya watu....
yaani huyu dogo ni lafa booonge la lafaaa...
mgiriki Makomana @75mm Amicus curie we dogo ujumbe wangu na ukufikie...nilishakukataza sana usinisogelee ukajidai mjanja kunijia kwa styl tofaut umeishia wap sasa...nitafutie ID nyingineee

Na huyo amicus kumbe ni yeye!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
huwez mpenda mtu bila kumuona physical appearance kwanza mambo ya tabia yanakuja baadae!!!
 
Hilo suala la tabia ni suala mtambuka sana wandugu, na amini amini nawaambia hatuna uwezo wa kuitambua tabia halisi ya mtu mwingine....mtu umuonae barabarani au mbele za watu kamwe sie huyo huyo anavyokuwa (alone) peke yake.

Mfano mmoja tu, utampuuza binti wa jirani anayshinda amevaa mini, nguo za kubana n.k., then utakutana na binti mwenye sifa zooote hizo utakazozigrade kwa uwezo wako wa kibanadamu, lakini hebu tuwe tunajiuliza, wale vichanga wanaookotwa hai au wamekufa, hao mama zao huwa wanabaki na alama usoni ? ili kama ukikutana nae kwenye kongamano kule kwa Mwakasege umkwepe ?.....utachumbia, utaoa, mtazaa, miaka arobaini ana siri yake moyoni.

Pia lazima ujue kuwa Mungu ana sababu zake muhimu sana kunyima uwezo wa kuona yaliyo mioyoni/vichwani mwa wengine...

Na tusitarajie tu tabia njema kwa wenzi ilihali ya kwako sio.

Wapo warembo wenye tabia zao nzuri tu, na wapo waliokosa yote sio sura sio tabia....so cha kufanya ni kumuomba Mungu wako kwa bidii umpate utakayempata.
 
mpendwa mm nishamsamehe since that day sinaga hta moyo wa kuweka haya kwa maana dunia yenyewe napita

ila nimechoka zaid pale ID ziliponganishwa na wewe kuendelea kuijtoa fahamu tu huyu mgiriki Comment kistaarabu ila makomana na 75mm balaa kumbe mtu ni mmoja.
MUNGU katuficha mengi

lilikuja kwa gia ya kutangaza nimemfatilia vaislay nimeona mstaarabu nimejiunga juzi kumbe lilikuwa linamiID kama mchanga laini...

bora we umesamehe mi nimemdharau kabisa namwona kama kinyesi cha juzi
 
Back
Top Bottom