de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,664
- 25,022
Katika dunia ya leo yenye warembo na watanashati wa kila aina, unapaswa kutokuweka vigezo vya uzuri wa nje kama msingi wa kupata mwenza.
Vijana wengi wanakimbilia superficial beauty na kuweka standards katika muonekano.
Wakimbwende nao wanaenda extra miles kukazania uzuri wa nje na sio tabia, wao wanaita reception. Kama reception sio nzuri basi na soko lako halipo.
Mwanamke yeyote akijiweka kuwa smart na akazingatia tabia iliyo njema hugeuka kuwa matamanio ya wanaume sahihi..
Lakini pia mwanaume asiye na hulka za kutaka attention na mwenye malengo halisi hugeuka kuwa matamanio ya wanawake sahihi.
Kijana, anza leo kupendezesha uzuri usio onekana. Anza kujua thamani yako, anza kuthamini kilicho bora na sicho kionekanacho bora.
Jenga mahusiano bora na wewe, na yata reflect mahusiano yako na watu wa nje.
You can't pour from an empty cup, and neither can others.