KILAKA
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 374
- 127
Eid mubarak wana MMU,
Bila kupoteza wakati acha niende kwenye mada ambayo ningependa kuielezea. Kuna msemo maarufu sana kwamba UZURI WA MWANAMKE NI TABIA SIO UREMBO.
Huu usemi mimi ninakubaliana nao hasa pale linapokuja swala la kumtafuta mwenzi wako wa maisha ni lazima ujiridhishe kuwa tabia na mienendo yake, ni mizuri na imekuridhisha.
Tatizo linakuja jinsi ya kuitambua hiyo tabia ya mwenzi wako (mwanamke) unayetaka kufunga nae pingu za maisha, kwa kweli wanawake wengi kwa sasa wanavyojionyesha nje si vile walivyo ndani wanajua kufake tabia yao ionekana kama nzuri wakati sio kweli, kwa mfano mwonekano wa mavazi wa mwanamke unaweza ukazungumza tabia yake jinsi ilivyo ijapokuwa sio kwa asilimia mia.
Kuna mwanamke ambaye anaweza akawa anavaa nguo ndefu sana mpaka anaziburuza akitaka aonekane mwenye tabia nzuri lakini kumbe usiku utamkuta kwenye vigodoro au barabarani anajiuza ni kahaba.
Kwa sasa wanawake wengi ni waigizaji wazuri sana kuliko wasanii wa hollywood ijapokuwa huwa hawapati tuzo.