Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

Bora hao walioshindikana mana wanakuwa wamepitia mengi na wamejifunxa kwahyo akiolewa anatulia sasa wale ambao hawakula ujana wakaingia ndoani ndo huwa wasumbufu wakubwa kuna watu na wafahamu walikuwa wamekubuhu kwa tabia zao lakini wametulia na hawa hangaiki kwahyo ina change na hao watu wanaoita maka.. Ndo wanakujaga kutulia majority yao

Sipo tayari kununua package ambayo inaexpire kesho kutwa.
 
Ninanukuu maneno ya lucky dube,"beautiful woman is another man's plaything" kwa hiyo angalia usije ukawa umeoa kumbe umewaolea watu.

Mwanamke kugongwa nje ni very relative act..........

hata vipori waliolewa wanagongwa tu,,,,,,,,, kuna vitu vingine kunyimana raha tu kisa assumptions zisizokuwa na mashiko........
 
Eid mubarak wana MMU,
Bila kupoteza wakati acha niende kwenye mada ambayo ningependa kuielezea.
Kuna msemo maarufu sana kwamba UZURI WA MWANAMKE NI TABIA SIO UREMBO, huu usemi mimi ninakubaliana nao hasa pale linapokuja swala la kumtafuta mwenzi wako wa maisha ni lazima ujiridhishe kua tabia na mienendo yake, ni mizuri na imekuridhisha.
Tatizo linakuja jinsi ya kuitambua hiyo tabia ya mwenzi wako(mwanamke) unayetaka kufunga nae pingu za maisha, kwa kweli wanawake wengi kwa sasa wanavyojionyesha nje si vile walivyo ndani wanajua kufake tabia yao ionekana kama nzuri wakati sio kweli, kwa mfano mwonekano wa mavazi wa mwanamke unaweza ukazungumza tabia yake jinsi ilivyo ijapokuwa sio kwa asilimia mia.
Kuna mwanamke ambaye anaweza akawa anavaa nguo ndefu sana mpaka anaziburuza akitaka aonekane mwenye tabia nzuri lakini kumbe usiku utamkuta kwenye vigodoro au barabarani anauza K. ni Kahaba.
Kwa sasa wanawake wengi ni waigizaji wazuri sana kuliko wasanii wa hollywood!!!!!!!!!
ijapokuwa huwa hawapati tuzo.

Cc Dinazarde Khantwe snowhite na Vaislay na ICHANA
 
Last edited by a moderator:
Tabia ndio ila bila shape utaharibu uzao wako wote.
Hata wanyama.mbegu.tunaangalia ile mbegu bora. Usipuuze shape.
 
kweli ukija kwenye swala la kuishi pamoja/ndoa TABIA ina play part kubwa sana na si kwa wadada tu hata wakaka,la sivyo nyumba inaweza kugeuka Darfur
 
Mazingira yanamtengeneza mtu.... before look for behavior just try to make a litle observation of her ili ujue kakulia maisha yapi pia ujue anataka nini... shape sura tabia mbwe mbwe tu
 
Mwanaume anaongoza kubeba videmu kwenye vigodoro na madanguro..halafu kesho anataka kuoa mwanamke ana tabia nzuri..
Change ni wewe.
Ukiwa mwigizaji unapata type yako.
Ukiwa na tabia nzuri unapata type yako.
 
Katikati ya wabaya wengi wapo wachache ambao ni wazuri, katikati ya wasaliti wengi wapo wachache ambao ni waaminifu. Mchunguze mtu kabla hujazama kimapenzi utavutiwa na tabia na mwenendo wake, kwani utasikia jinsi watu wanavyomzungumzia, ndugu, majirani, wafanyakazi wenzake, wanafunzi wenzake chuoni kisha utafanya maamuzi ya kumtongoza kwa lengo la kuwa nae kwa lengo la kuanzisha familia Kama utakuwa umeridhishwa na tabia zake ama kupotezea Kama utakuwa hujaridhishwa. Hakika umakini unahitajika japo wanaume nao wakati mwingine huwa chanzo cha wanawake kuwa wabaya kutokana na Ahmadinejad nyingi za uongo na mitazamo hafifu inayopingana na uhalisia.
 
Back
Top Bottom