Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,714
Heart, unaishi dunia gani??? wanawake wengi hapa mjini tabia wanazoonesha nje sio za ukweli kwa mfano unaweza ukakuta na mdada anayependa ufahari na luxury sana lakini kumbe ametokea katika familia masikini sana huko kijijini hata umeme alibahatika kuutumia alivyokuja mjini na kuna wengine wanavaa nguo descent sana wakati ni wachafu sana na wana uwezo wa kufanya hivyo kwa muda mrefu.
Sikatai ila ata-pretend then mwisho wa siku atashindwa tu..hata kama ita-take a year or more.... Itajulikana tu. Mbona watu wanaumbuka sana mjini..