Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kuleta taste kamili ya mlenda.Hayo magadi yana kazi gani?
Kuleta taste kamili ya mlenda.Hayo magadi yana kazi gani?
Ni mnavu 😂Hapa Arusha kuna mboga wanaita mnafu ni tamu sana ikiandaliwa vizuri nimekuja kuijulia Arusha
Kuna kitimoto mnavu. Ni hatariiiiMnafu na Saladi Ndo mboga zangu kuzipata Dar ni Changamoto
Mnafu ukiutia utumbo na nazi ni hatari sana
Kuna kuku mnafu nayo ni balaa tupu
Haha sawa mkuu
Naishi sayari ya dunia hii hii...
Au basi majina ni tofauti..
Ndiyo maana nimeandika kwa tahadhari mkuu.
Daaaaah mkuu ndo unatenga mbichwa wote kwenye sahani
Hivi kichwa Cha Mee ukikichoma kama hivi ndani kinaiva kweli?
Sidhani labda wakipasueHivi kichwa Cha Mee ukikichoma kama hivi ndani kinaiva kweli?