Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,585
- 12,439
Embu maliza ugali uwo kijana

Embu maliza ugali uwo kijana

Shukrani mkuu!hapana kwenye masoko ya vyakula upande wa viungo hai
Inajulikana kwa jina hilo hilo kuwa ni mint au kuna jina la kiswahili hutumika?hapana kwenye masoko ya vyakula upande wa viungo hai
mnanaaInajulikana kwa jina hilo hilo kuwa ni mint au kuna jina la kiswahili hutumika?
Duh!Aisee!!mnanaa
NanaaInajulikana kwa jina hilo hilo kuwa ni mint au kuna jina la kiswahili hutumika?
Duh!Nanaa
Dahhh...umenikumbusha mbali,hii kitu hatari ila wanauzaga gharama sana hicho kisiniaChakula cha kieithiopia "ZIGNI" ni CHAPATI mchanganyiko wa unga wa ngano na mahindi.
ZIGNI huliwa na vitoweo au mbogamboga zilizo changanwa na na pilipili za kihabeshi, vyakula vao waeithiopia wanaweza wakala wao tu, mtu mwingine hawezi kutokana na wingi wa pilipili kali kichaa
View attachment 1864777View attachment 1864779View attachment 1864780View attachment 1864782View attachment 1864785



Mkuu hii mifupa inauzwa wapi?