Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,116
- 15,609
Tafuta mbegu kwenye maduka ya kilimo.Zinapatikana wapi mkuu?
Tafuta mbegu kwenye maduka ya kilimo.Zinapatikana wapi mkuu?
Omelet& scrambledHapo mimi napenda fried pamoja na soft boiled.View attachment 1863364
Mbeya ni joto kali?😳
Chai nimepunguza..huku joto ni kali.
Shukrani wifi😁😁😁Tafuta mbegu kwenye maduka ya kilimo.
Jifunze kula kile ambacho mwili unahitaji na siyo kile unachovutiwa nacho au unachokipenda wewe.Sasa yai ambalo limeunguzwa lina virutubisho gani?Omelet& scrambled
Yai bichi kabisa hilo,kiini kibichi sijala bado.Jifunze kula kile ambacho mwili unahitaji na siyo kile unachovutiwa nacho au unachokipenda wewe.Sasa yai ambalo limeunguzwa lina virutubisho gani?
Wifi yako kwa nani tena?Shukrani wifi
Una matatizo makubwa sana.Brace for impact!Yai bichi kabisa hilo,kiini kibichi sijala bado.
Kama virutubisho bora nivikose.
Mayai ambayo huwa nakula mimi hayakauki sana,Una matatizo makubwa sana.Brace for impact!
Chai anza kutumia yale majani mazuri,akina mint tea.Chai ipo kwenye damuView attachment 1863459
Yale nimeyaacha kijijini.Chai anza kutumia yale majani mazuri,akina mint tea.
Yana virutubisho vya msingi sana.Yale nimeyaacha kijijini.
Ningejua kama ni mzuri ningeyatumia Sana.
Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Bahati mbaya kwenye miti huwa hakuna wajenzi,kule tunaona ni kama mapambo tu.
Next time nitajitahidi kuyatumia.Yana virutubisho vya msingi sana.
Mint maporini!!Sidhani labda umefananisha.Maporini humo ninamopita
Labda kama nimeyafananisha
Basi itakuwa nimefananisha.Mint maporini!!Sidhani labda umefananisha.
Huku Kwetu inauzwa kiche sh 500 mpk elfu 1