Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Hiyo sigara ni sportsman au portsman? 😂Now or neverView attachment 1862112
3 cups of tea
Siyo ile chai yako nyeusi ambayo huwa unakunywaga,hapa anazungumzia mint tea3 cups of tea



Siyo ile chai yako nyeusi ambayo huwa unakunywaga,hapa anazungumzia mint teaView attachment 1862579View attachment 1862580View attachment 1862582View attachment 1862583





Uliwahi kuliona hilo jani la mint tea?
Bwana wee
Mchaichai unatosha![]()
NdiyoUliwahi kuliona hilo jani la mint tea?
Wapi?Ndiyo
Maporini humo ninamopitaWapi?
Natafuta mbegu zake ili nilime hili zao kwenye bustan kwa ajili ya matumizi yangu lakini sijui nitazipata wapi.Maporini humo ninamopita
Labda kama nimeyafananisha
Kwani majani yake ukipandikiza hayaoti?Natafuta mbegu zake ili nilime hili zao kwenye bustan kwa ajili ya matumizi yangu lakini sijui nitazipata wapi.
Duh!Sijafahamu kwa kweliKwani majani yake ukipandikiza hayaoti?
JaribuDuh!Sijafahamu kwa kweli
Halafu chai yangu ninayokunywa huwa natumia majani fulani hivi,majani pori ambayo pia ni mazuri kwa afya.Siyo ile chai yako nyeusi ambayo huwa unakunywaga,hapa anazungumzia mint teaView attachment 1862579View attachment 1862580View attachment 1862582View attachment 1862583
Natafuta mbegu zake ili nilime hili zao kwenye bustan kwa ajili ya matumizi yangu lakini sijui nitazipata wapi.