Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Sijui jina lake ila ni majani maarufu sana kule mikoa yetu.Yanaitwaje?
Siku ukienda porini tuma picha.Sijui jina lake ila ni majani maarufu sana kule mikoa yetu.
Yanachumwa ,yanaanikwa tayari kwa matumizi.
Wengine hutwanga na kuchekecha.
Sawa ila huwa sichumi MimiSiku ukienda porini tuma picha.
Shukrani sana mdogo wangu wa kienyeji(In Chakorii voice)😁😁😁Sawa ila huwa sichumi Mimi
Nitahakikisha naenda.
Mshana tusaidiane kufanya utafiti. Mi naona asilia zaidi ya 75 ya wana jf kwasasa ni mabachela. Yaani misosi yote inayopostiwa humu ni ya single,huoni dalili kuwa kuna familia.
Hahahaha nadhani wengi wanaogopa kuonesha mazingira yoteMshana tusaidiane kufanya utafiti. Mi naona asilia zaidi ya 75 ya wana jf kwasasa ni mabachela. Yaani misosi yote inayopostiwa humu ni ya single,huoni dalili kuwa kuna familia.
Mbaya zaidi hata haviwekwi mezani. Vingi utaona tiles tu ndo meza. Nisaidie kugundua hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
labda,ila na misosi ndo iwe sahani moja na kijiko kimoja tu?,halafu meza ni sakafu?Hahahaha nadhani wengi wanaogopa kuonesha mazingira yote
Shukrani sana mdogo wangu wa kienyeji(In Chakorii voice)
Vile nimefura baada ya kukosa chai hapoNani mwingine anakula nyama ya kanga?View attachment 1863329