Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nimekuja kutafuta njaa
Karibu

20210619_192321.jpg
 
Hilo kongoro zimazima nilipewa Mbeya likanishinda Ilikua Hotel moja maarufu tu pembeni stendi ya nanenane Uyole sikumbuki jina.Mfikemo nafkiri inaitwa
Mwenye Hotel nae akapigwa mapanga mbaya na ndugu zake akiwa msibani.
Nikiwa pale hotelini nikapewa habari .
Siku nikaagiza chipsi yai restaurant yao daahšŸ¤·ā€ā™‚ļø
You can imagine ni Hotel kubwa tu.
Kwenye room niliwakubali sana.
Nikaingia Disco vumbi lao yaani ikawa tabu tupu vumbi vumbi kweli full fujo šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Aah Mbeya wajifunze kidogo ustaarabu.
 
Back
Top Bottom