Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Bhage muhimu kabla ya kutia ndani(kula)... 😂Mtu akiona hiyo Tanzania government executive note book anaweza kufikiri kuwa huwa huvuti bangi!
Bhage muhimu kabla ya kutia ndani(kula)... 😂Mtu akiona hiyo Tanzania government executive note book anaweza kufikiri kuwa huwa huvuti bangi!
Kitu hicho sasa, mtu tatu tu! Game over! 😋💪🏼
Sa itakuwaje!? Napenda ugali wa cassava
Wacha nifanye mishe mishe alafu nikubeep! 😎Sa itakuwaje!? Napenda ugali wa cassava
Mkuu hizo chapati zimenyooka hatari hapo upate na supu la sangara ama sato ni hatari





hapo inatakiwa usiwe na nguo zinazokubana na ukae sehem kuna hewa tosha ndo uaunze kula maana msosi huu si mchezoNaipata sn mwambaSehemu moja inaitwa kisisi sijui km unaifaham
Hizi naziona Ni korosho ama???
Maziwa mtandao ya dukan yafaa hata kwa wenye vidonda vya tumboView attachment 1806273
Yeah, pamoja na ReisinHizi naziona Ni korosho ama???
Na jegi la maji baridi au Juice baridi kando hapo + fan inapuliza pole pole! 🤣 🤣 🤣 Ukitoka hapo waenda tafuta kulala direct.. 😂hapo inatakiwa usiwe na nguo zinazokubana na ukae sehem kuna hewa tosha ndo uaunze kula maana msosi huu si mchezo
Samaki uweke kwenye bakuli. Hasa la bati/chuma. Khaa