Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Huu msosi wako unafanana na bawasiri!
ila wewe akili zako unazijua mwenyewe
Huu msosi wako unafanana na bawasiri!
Msosi wa mtu ngapi mzee?
Mimi nakupenda nataka uwe unakula vyakula ambavyo vitakuepusha na maradhi,mboga na matunda kwenye vyakula vya namna yako ni muhimu sana.ila wewe akili zako unazijua mwenyewe
Magic moments!
Naona na avocado pembeni hapo..safii
Mimi nakupenda nataka uwe unakula vyakula ambavyo vitakuepusha na maradhi,mboga na matunda kwenye vyakula vya namna yako ni muhimu sana.
Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani!😋😋😋Sawa nitakua najitahidi kiukweli kwenye mboga za majani nina kauvivu
Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani!
View attachment 1818131

Kuna mtu kaposti hiki chakula hapa,hiki ni chakula ambacho hakina mawaa kabisa.Yaani ni chakula bora kwa asilimia 90.Imagine Hapo pana dona,mtindi na mboga za majani achilia mbali huo mchuzi fulani!
View attachment 1818131

Kama utajitahidi utupie na picha hapa pia!🙃nitajitahidi nitaanza leo
nitaleta mrejesho
Goti hili?
Honey glazed sio... 😛
Kama utajitahidi utupie na picha hapa pia!![]()




SamakiGoti hili?