curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
NaamShushia na hiiView attachment 1719255

NaamShushia na hiiView attachment 1719255

Hiyo kitu tamu sana iwe na Nazi aha njegere bhana
Dah wee mwana fundi wallahNaombeni ugali maana kama muonavyo, sato yupo tiariView attachment 1719536



Leo haikuwekwa naziHiyo kitu tamu sana iwe na Nazi aha njegere bhana
Karibu kakaDah wee mwana fundi wallah![]()
AhyaaLeo haikuwekwa nazi
Mimi najua kuwa ni viazi hivi vya chipsi vinachemchwa kwa maji chumvi na mafuta kidogo,then baadae vinapondwapodwa na unaweza kuweka na butter(mfano blue band) then mzigo unakuwa sawa.UNAFAHAMU JINSI VINAVYOANDALIWA? KWA MUDA MREFU NATAMANI KUJIFUNZA
Superwoman yeyote aliye tiar kula iki chakula anifate PM nimwambie kituView attachment 1720099
Nimeona pilipili hapo kwenye sahani imefanya chakula hicho kinitoe mate.Kitu cha muhogo wa nazi na jodari. View attachment 1720266
Sio mchezo mkuuNimeona pilipili hapo kwenye sahani imefanya chakula hicho kinitoe mate.
Sent using Jamii Forums mobile app