jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Yummy
Wee mzee waUnakula vitu vikavu sana ndiyo maana chura haioti vizuri
, yatakukuta makubwa lol. 


Umerudi itabidi nihame uzi..sitaki kutesa minyoo na mate yangu#HuanikilapilaunakulabilakijikoView attachment 1721904
Umerudi itabidi nihame uzi..sitaki kutesa minyoo na mate yangu

baki mkuu wewe ni ligendi bwana
Karibu mkuu, kibachelor zaidi msosi wa harakaNimepata ujuzi
Kamemiss kamboga ka majani tu hapa na maji baridi



Usijali subiri mwezi wa kumi navuta jiko nitakualikaSawa basi unipe mialiko mara moja moja
SHIKAMOO.Kuna kuoa kweli hapa ndugu zangu??View attachment 1720892View attachment 1720893View attachment 1720895View attachment 1720896
Kadi yako ipo😁😁Dah never miss la sivyo utakuwa umenizulumu sana![]()
