Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Kitu cha hot-chair, duh! ♨️😋My apology kwa ambao sio watumiajiView attachment 1718539
✌️
Kitu cha hot-chair, duh! ♨️😋My apology kwa ambao sio watumiajiView attachment 1718539
Msosi wa mechi[emoji38]Dona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
Baada ya hapo naenda kumalizia ile nusu ekari iliyobakiMsosi wa mechi[emoji38]
Huu mzigo nimeuelewa, sasa hapo mzee baba na huo msosi ndiyo uwe sasa na mechi kama hii ya simba ya leo nahisi natupia double hat trickDona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
[emoji3]mpini wa chuma chifu,hapa nna gloves kuhifadhi viganja tu[emoji38]Hahahaha..angalia jembe lisijevunjika mpini
Mkuu kwani vita??Dona, ndondo nazi, samvu nazi, dagaa mwanza, sharbati dodoView attachment 1718613
😀Vipi tena Ba mjengo
Hapana mkuu, salama tu brigedi hii.Mkuu kwani vita??
Shushia na hii
Moto Fire 🔥 🔥 🔥 👌😋
Kitu cha Potato mash sio?..safi