Joline
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 3,767
- 6,280
OverSawa sawa akili mingi mwanafalsafa wangu upo juu,
OverSawa sawa akili mingi mwanafalsafa wangu upo juu,
Dawa za kwenye mboga za majani hizo. Kama ni mpenzi WA mbogamboga underperformance inakuhusu.😀😀😀
Haya mambo ya underperformance yapo hadi kwa wakondefu siku hizi!
I love you meat.Sema neno moja tu na njaa itakoma.View attachment 1711855
Na typhoid na minyoo.😔😔😔. Mboga mboga hizo ndo hatari kuliko Vumbi lenyewe.View attachment 1714909
Chips Vumbi
Na typhoid na minyoo.. Mboga mboga hizo ndo hatari kuliko Vumbi lenyewe.
Hapa upate mtindi..ule og daah..mate yamenitoka kabisa.Dona,rosti, kisamvu na fish wa kulumangia.
Mchana mwemaView attachment 1712355
Ukila hivyo unashiba, lakini Epuka amoeba mama na hizi kachumbari
waoh nimepata njaa ghafla
ugali mkubwa kinomaDona,rosti, kisamvu na fish wa kulumangia.
Mchana mwemaView attachment 1712355
Aiiishhh hatari sana
Kula kwa machowaoh nimepata njaa ghafla
Kwa kweli ndio maana dawa zikawekwa Kuna vyakula vitamu aisee siwez acha kisa amoeba Mimi,dawa zipo ntashushia na maji Lita 5Ukila hivyo unashiba, lakini Epuka amoeba mama na hizi kachumbari
Sent using Jamii Forums mobile app
nimetoka kula chakula hakina msisimko najazia na picha zenuKula kwa macho
Hiyo inaitwa 2 in 1, huo unaliwa saa sita kasorobo shapu! Hadi usiku tutakapokazia na vijimatunda.ugali mkubwa kinoma