dah hongera unaepusha kitambiHiyo inaitwa 2 in 1, huo unaliwa saa sita kasorobo shapu! Hadi usiku tutakapokazia na vijimatunda.
Ila leo nimepunguza kipimo.View attachment 1715512
La kongo we?View attachment 1714909
Chips Vumbi
Kitambi kinapunguza ufanisi kwenye nyanja mbalimbali, si vyema kukihodhi.dah hongera unaepusha kitambi
La kongo we?
Silingi ngaapi
Hawa wamenishinda kula mie sijui kwa nini