cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169






Nasukutua boga, nalishushia na maziwa wakati huo mkono mmoja unamenya yai,sijamaliza vizuri nshadaka chapati na gonga na juice,narudi kwenye maziwa na viazi ndio namalizia matundaKumekuchaaaView attachment 1709640
Ni nzuri inaonyesha inawasha na ina ladhaYes boss

Mkoo mtu tatu
Lizzy banah mambo yake ya moto ya moto safi
Dah unatuua kwa njaa.Mshana jr hii inakuhusuView attachment 1710495
Msosi unavutia! Ila huu ni ulafi mavitu yote hayo tumbo moja!!
Nimeielewa sanaMshana jr hii inakuhusuView attachment 1710495