Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Hata sio jitihada zangu hizo wifey 🥴🥴 Ila ntamfikishia dada sifa zake🙂🙂Dahh!Mme kwa kupika unatisha sana!😋😋😋
Hata sio jitihada zangu hizo wifey 🥴🥴 Ila ntamfikishia dada sifa zake🙂🙂Dahh!Mme kwa kupika unatisha sana!😋😋😋
Home kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.



Hujawahi niangusha dea lol.
Minyoo imeruka kwa nguvu tumboni, hasa hizo njegere.
Jamani mate yamenitoka hapa, nimekumbuka home wallah.




Yes bossHiyo pilipili umetengeza mwenyewe
Unakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!🙂🙂🙂Home kabisaa yaan daaah, boga afu ndo wakati wake huu.
![]()
Unakulakula sana lakini hata chura haiwi kubwa!![]()


we mzee wa chura hebu niache, basi nigawie hao wa kwako unaowafuga lol