Hii ni mbele eeeh?Noodles and chicken curry masala View attachment 1656672
Ugali mweusi sijui waga naonaje yani, ila kwenye mdudu nakubaliUgali wa Dona OG na mdudu View attachment 1656347


Watu wa Dar mna mamboUgali mweusi sijui waga naonaje yani, ila kwenye mdudu nakubali![]()
huo ndio ugali sasa.Hahaha jaribu kuzipika kama hizo unapata fiber kwa wingi sana ni bongo tu ndio bamia wanakata kataSasa hizo bamia mbona zinatufokea,,,

Mh aya sawa,,mm nikipika lazima nitoe hicho kidude cha mwishoniHahaha jaribu kuzipika kama hizo unapata fiber kwa wingi sana ni bongo tu ndio bamia wanakata kata![]()
Hapo unatoa kitu kinaitwa nyuzi nyuzi au fiber muhim sana kwa afya alafu hakikisha unachagua bamia changa ....ndio utanishukuruMh aya sawa,,mm nikipika lazima nitoe hicho kidude cha mwishoni
Bamia change ndo habari ya mjini hata ivyo,,,,,,,okayHapo unatoa kitu kinaitwa nyuzi nyuzi au fiber muhim sana kwa afya alafu hakikisha unachagua bamia changa ....ndio utanishukuru

Kenda kwenye sensaSimuoni The Happiness humu katika ubora wake wa mapishi, moshi kumenoga mama
Baba mjengo niko migombani pilika pilika si unajua tena.!🤗Simuoni The Happiness humu katika ubora wake wa mapishi, moshi kumenoga mama
Yanavutia hayo.ingridients please.Fresh from my kitchen..View attachment 1658439