Eee!!!!,hapo lazima watoto wa kike wakuelewe.Ohh kumbe
Hahah nilipotea ndugu mambo mengi..nimerejea now. vipi lakiniMhmhh Ulipotea, naona umerudi sawa na mshana, habari yako
Chakula kinawafaa waname wa dar hiki.
umeolewa??
huyo mdudu mbona!
Ndio maanake... Mdudu wa baharinihuyo mdudu mbona!
Kwani mdudu sio chakula?.huyo mdudu mbona!
Safi sana karibu sana mdauHahah nilipotea ndugu mambo mengi..nimerejea now. vipi lakini
Mapacha tusiofananaMhmhh Ulipotea, naona umerudi sawa na mshana, habari yako

Aisehhhh naona kwa kweli, karibuni banah tunawakubali sana




Aisehhhh naona kwa kweli, karibuni banah tunawakubali sana






NimeutamaniUgali wa Dona OG na mdudu View attachment 1656347