Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,606
- 50,879
Umefuraaaaahi mwenyewe 😊😊Lizzy![]()
Sodata maji ya kunawa nakula kwa mkono, wapi pilipili
Bora umerudi kutuchangamsha Mshana 🙂🙂 Hizo dagaa zinatamanisha 😋😋
Kuna pepsi kwenye fridge...nikutilie barafu au hivyo hivyo??? Kuhusu pilipili inabidi uonje kwanza maana nshaweka pilipili manga jikoni 🙂Sodata maji ya kunawa nakula kwa mkono, wapi pilipili
Kuna pepsi kwenye fridge...nikutilie barafu au hivyo hivyo??? Kuhusu pilipili inabidi uonje kwanza maana nshaweka pilipili manga jikoni![]()

, pilipili nasikia yes
Niliwamiss sanaBora umerudi kutuchangamsha MshanaHizo dagaa zinatamanisha
![]()
Pweza na waliKitu cha pweza wa nazi na ubwabwa View attachment 1631464
Nguvu za kiume
Ohh kumbeNguvu za kiume
Mhmhh Ulipotea, naona umerudi sawa na mshana



, habari yako