The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Kinyonge sana leo dingi,#Chips dumeView attachment 1661479
Kinyonge sana leo dingi,#Chips dumeView attachment 1661479
Limbwata utatafuta sana, ndoa tamu asikwambie mtuSijui sasa
Nikaona ngoja ninyamazewanasema usitukane mamba kabla haujavuka mto.
OhooLimbwata utatafuta sana, ndoa tamu asikwambie mtu
Oh! Yes.Tembele ?
Mbona hutuwekei mbege na ile kichuri ba mjengo,tule kwa macho![]()
huku ni mwendo wa nyama, supu na mbege...mbona sikuoni mjini huku nikupeleke nyumbani ukanywe supu, ule machalari na unywe mbege na Makongoro 😋😋naogopa wazee watamaliza mwaka na mimi 💍💃💃![]()
![]()
huku ni mwendo wa nyama, supu na mbege...mbona sikuoni mjini huku nikupeleke nyumbani ukanywe supu, ule machalari na unywe mbege na Makongoro View attachment 1661995View attachment 1661994
naogopa wazee watamaliza mwaka na mimi
![]()
Unaogopa kuingia kwenye kitanzi, kwahiyo unataka bado kurukaruka kama sungura 

Hahahaha hizo bamia sasaUgali mweupe na mduduView attachment 1656964




, ndio tumalize kwanza mjengo, halafu mwakani tarehe kama hizi tuvae kitanzi
Karibu tundaView attachment 1662304
Tufani ni tunda alilokula eva bustani ya eden ndiyo akatupoteza wote, sili tunda la mti hule 




Tanga bhana..![]()