Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Wow aisehhh my dear umeniweza napenda mbuzi acha tu, ngoja nije na chipsNjoo onja mbuzi chomaView attachment 1633070
, ugali na salad
tulie nyama hiyo njaa mpaka imekata kuniumaAlaah kumbe ndio starehe yako, ndizi na chips vilikuwepo ila mie nikachagua nyama tu😋Wow aisehhh my dear umeniweza napenda mbuzi acha tu, ngoja nije na chips, ugali na salad
tulie nyama hiyo njaa mpaka imekata kuniuma
Una maintain kwa kweli, nundu hapo kuipata ni tabu sana , sema ndiyo nimeshakupenda sasa hakuna namna nundu sio ishu sanaAlaah kumbe ndio starehe yako, ndizi na chips vilikuwepo ila mie nikachagua nyama tu![]()


Hizo nyama ni kitimoto?


Lunch ya awamu ya tano!Lunch yaleo hiiView attachment 1633233
Noma mze ,,kichuochuo zaid mkuu.Lunch ya awamu ya tano!
Naweza kalisha hiyo meza yote kwa mpigo mmoja.
Ewaaaa....hapa sasa nimekupataa
Mdudu handsome!?
Yupp!!!!!!Mdudu handsome!?

Duuuh,, hyo mashine asee,. Anakimbiza show sio poah yanHuyu dada ni member mwenzetu kwenye hii forum na huwa anapost vyakula mara kwa mara hapa,je unaweza kubashiri ni nani?View attachment 1633475View attachment 1633476