Uzi wa vyakula tu

Tutakuja na zoezi la kitumbua
 
Unga nusu kilo kipimo cha hamira unatakiwa iwe kiasi gani?? Nipe vipimo kwa kutumia kijiko cha chakula
 
Unga nusu kilo kipimo cha hamira unatakiwa iwe kiasi gani?? Nipe vipimo kwa kutumia kijiko cha chakula
Nahisi kile kipakti kimoja kinatosha maana mie unga wangu (makadirio lakini sio exact measurements) around 1kg huwa naweka pakti mbili kasoro/moja na nusu ya hamira.
 
Bi mkubwa anakanda andazi anaandaa moto analichoma na linatoka zuri hatari,

Ukiumusha maandazi anakushangaa,

Nilijaribu kuiga kilichotokea sina hata mpango wa kupika mandazi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…