NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Nd mix gan elezea
Pilau bubu 😁🙈🙈Hiyo wanaitaga nini mamy?
Hodari kweli kwelieti hodari.
Haya jiandae na pishi la chapati za kusukuma baadae.
Kabisa bossMkuu ww n mdau kama mm?
Hii inaitwa VUVUZELA FAV unaipata Pizza Hut, hii ilikua na Fries , Pizza (Small), Wings na Coca Moja, Bei yake ni 13,000 Shillings tu.Nd mix gan elezea
Nikajua birianiPilau bubu![]()
Ndida upo, safi Sana nilikuwa napendaga sana zile Picha ulikuwa unatupia za enzi hizoHii inaitwa VUVUZELA FAV unaipata Pizza Hut, hii ilikua na Fries , Pizza (Small), Wings na Coca Moja, Bei yake ni 13,000 Shillings tu.
Haaaaa Haaaaa 😂 halooooonjoo unipikie dear
😢 😢 Haaaaa Umejuaje? Naona kila kona umewapanga,cheko la wivu![]()
Nipo Boss, Kama kawa tunaliendendeleza mkuu.Ndida upo, safi Sana nilikuwa napendaga sana zile Picha ulikuwa unatupia za enzi hizo
Big up
![]()
Haaaaa Umejuaje? Naona kila kona umewapanga,
Kwaheri

Safi Sana mkuu, hongeraNipo Boss, Kama kawa tunaliendendeleza mkuu.
MI sikutaki tena, kwahersiwezi kukuacha kibonge wangu,![]()
Up pnd ganKabisa boss