sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
Njaa imeongezeka ghafla.
Leo zamu yako kupika mkuu.Jaman leo hatuli humu?!
Mzee una nyota ya Simba, nyama everyday
Kuna jamaa hapa anauliza, mchuzi umeunywa vipi kwa kutumia uma na kisu tu! Au ulinyanyua sahani
Jibu moja matata sana! Halafu ni kweli..Kilingeni nazipata bure![]()
Kama ingekuwa supu ningeelewa kwanini unauliza. Ila mchuzi mzito tena na wali pembeni?? come on dude ...hata kwa 🥢inawezekana, achilia mbali 🍴Kuna jamaa hapa anauliza, mchuzi umeunywa vipi kwa kutumia uma na kisu tu! Au ulinyanyua sahani


Mida ndo hii jamanHili harage nimelielewa
Wakuu tunakula nn mchana huu!?Mida ndo hii jaman
Dah aisee! Yan hapa cjui nianze na nn nmalize na nn!



Npe location bac mkuu niwai fasta
