Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
Dah aisee me kwa kweli sitoweza kuhesabu mapaa ucku! Nilale bila kula! Hv minyoo ntaieleza nn uko tumbonusiku mi huwa sili aisee
Mara chache sana labda nikitoka out
Dah aisee me kwa kweli sitoweza kuhesabu mapaa ucku! Nilale bila kula! Hv minyoo ntaieleza nn uko tumbonusiku mi huwa sili aisee
Mara chache sana labda nikitoka out
Nakubali mkuu


Nakaziaduuh, mkuu mm bora niache kula mchana si usiku....kwanza huwa sipendi ratiba ya msosi inipite...kwa cku mara 3...ni doze
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah aisee me kwa kweli sitoweza kuhesabu mapaa ucku! Nilale bila kula! Hv minyoo ntaieleza nn uko tumbon
Tufundishe bas na sisi wengnemwanzon ilikuwa ngumu sasa nishagazoea kabisa
Tufundishe bas na sisi wengne
Dr. Saint Anne nami nakurejeshea salamu nyingi kutoka hapa nilipoTHOMASS SANKARA nakusalimu
You're missedDr. Saint Anne nami nakurejeshea salamu nyingi kutoka hapa nilipo
ThankYou Dr. Miss u too.You're missed
Hiko cheo umenipachika,si changu.
Si changu hicho nakwambia MimiThankYou Dr. Miss u too.
Hicho cheo chako kabsa ushamaliza kusoma yale madude yako magumu gumu sijui angina, stable angina etc??!


.Ahahaha...!!Si changu hicho nakwambia Mimi.
Ulipotelea wapi jamani
Usitususe hivi jamaniAhahaha...!!
Nipo ila kidogo u busy naingia mara chache chake sana humu.

Siwezi kukususa Dr. Saint Anne(MD)Usitususe hivi jamani![]()
MUNGU wangu MimiSiwezi kukususa Dr. Saint Anne(MD)













Dah mkuu yan apple moja then nkalale had kesho!unaanza kula apple moja
Au unakula kidogo saa 12 jioni portion ndogo ila kama we unafanya mazoezii sana kula tu mi mvivu mazoezii

Masihara hayo. Me nlijua utasema sababu ndo naanza labda niyapige hata 7 au 8 hv kdg afazali 
