Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
Haaah shangazi hapa kwa kweli inabidi tu tukaribishane sikubali!
ukuje banaaa
Haaah shangazi hapa kwa kweli inabidi tu tukaribishane sikubali!
ukuje banaaa


Nakuja ila me nakula ujazo wa paka haruki yan kuanzia plate 2+Nakuja ila me nakula ujazo wa paka haruki yan kuanzia plate 2+


MUNGU MKUBWA. Dada pole Sana kwa kuumwa. Hata mie nimepitia huko na Leo hii natengeneza dawa ya kutibu Ulcers moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo. Muda si mrefu nitakuwa nimekamilisha taratibu za serikali Inshaallah. Karibu Sana.Njia za asili zimenishinda kabisa..na hivi dkt ananiambia nisifanye mchezo kwenye kula.
Nitazitumia hata kidogo tu ili nile Sana nipone hivi vidonda vya tumbo.
Hapa ngoja niende kwa mangi nikachukue Pepsi ya bariiiiid nshushie



Haaah nakubalihaina shida unapataa hata mbwa haruki
Safi baharia umetisha sana! Hapo hata akija mtoto geto lazma akubali hilo pishiwakuu, leo nmejarib kupika,kigetogeto, ugali bado.View attachment 1484458
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ngoja niende kwa mangi nikachukue Pepsi ya bariiiiid nshushie![]()

Asante ila dah hyo menu ndo km nakutana nayo mida hii na ubao nilionao hapa! Aisee ntakimbiza vbaya sana had sufuria ntakombaHahah karibu mkuu.![]()
Asante ila dah hyo menu ndo km nakutana nayo mida hii na ubao nilionao hapa! Aisee ntakimbiza vbaya sana had sufuria ntakomba
Hahha au upate kaugali pembeni.


Labda angalau maana km ni hyo peke ake nadhani ntalitoboa sufuriaHaya sasa mida ndo hii jaman kina SAINT ANNE, DINAZARDE, BINTI KIZIWI njaa zinauma
hapa atkubali tu..namuambia kaa mama pale utulie,..nikupikie leoSafi baharia umetisha sana! Hapo hata akija mtoto geto lazma akubali hilo pishi

duuh, mkuu mm bora niache kula mchana si usikuusiku mi huwa sili aisee
Mara chache sana labda nikitoka out
....kwanza huwa sipendi ratiba ya msosi inipite...kwa cku mara 3...ni dozeduuh, mkuu mm bora niache kula mchana si usiku....kwanza huwa sipendi ratiba ya msosi inipite...kwa cku mara 3...ni doze
Sent using Jamii Forums mobile app


Tunakubali mkuu yan bakuli yetu ile ile