Haaahh nakubali mkuu umetishaNaanza na hiki kiporoView attachment 1485722
Najitahidi niwe muumini wa simpo food inapofika Usiku,
Hii ndiyo mbuzi yako ya siku hizi?
Umesahau kuntag mkuu
Mbona hujantag shangaz?

Na nlitoa oda mtu akitambaa na wali beans anstue fasta 

Umesahau kuntag mkuu

Kwahyo kwa wk mara 7 sioMara 1 kwa siku mkuu
Mbona hujantag shangaz?Na nlitoa oda mtu akitambaa na wali beans anstue fasta
![]()