dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
#Takeaway

Ubwabwa mwenziwe mkono bana, kijiko cha plastick nahisi kama huwa nalitania tumbo!#Takeaway View attachment 1461524















ᵃʳᵉᵉᵐ 
Mgonjwa augue pole dah! Maana typhoid fever inaonekana imemtafuna sana!Uji wa mgonjwaView attachment 1462259
ᵃʳᵉᵉᵐ 
Hahaha! Mimi pilau huwa ndio nalia mkono bro na ndio nahisi ninatoshekaUbwabwa mwenziwe mkono bana, kijiko cha plastick nahisi kama huwa nalitania tumbo!
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()
Ooh! Pole mgonjwaUji wa mgonjwaView attachment 1462259
Vidonda vya tumbo vinataka kuniua..Nini mbaya
Jr![]()
AmenMgonjwa augue pole dah! Maana typhoid fever inaonekana imemtafuna sana!
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()




Nzuri unaendeajeAkhsante
Za siku !?!
Naendelea vizuri kiasiNzuri unaendeaje
Pole uliugua nini?Naendelea vizuri kiasi