dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hmm!

Hmm!

Umenitamanisha acha leo niandae hili dude nishushie na juisi ya parachichi.
Usisahau kuweka kapicha ili Nile kwa machoUmenitamanisha acha leo niandae hili dude nishushie na juisi ya parachichi.
Sent using Jamii Forums mobile app

Sijawahi kula tangu nizaliweMambo ya pwani hayaView attachment 1455692
Adobo... Mboga ya kifilipinoView attachment 1455600
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app

Hizi mambo tuachie sisi watu, wa pwani ndio tunajua utamu wake wewe nyanda za juu kusini huko huwezi jua

Haunyongwi!....kinahitaji walau sauce...
WalaHaunyongwi!....kinahitaji walau sauce...

Hizi mambo tuachie sisi watu, wa pwani ndio tunajua utamu wake wewe nyanda za juu kusini huko huwezi jua
Tahadhari:- usijaribu maana huwezi acha![]()






Hongera sana!
Mimi sidhani kama naweza hata kujaribu kutia mdomoni maana muonekano wake tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tamu sana hiiiAdobo... Mboga ya kifilipinoView attachment 1455600
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
