Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nahobhoka pakukubhona Sona panu.
Mimi nilitegemea baada ya ule ugali utakaa siku mbili bila kula,kumbe wapi..Am kidding



Mimi nilitegemea baada ya ule ugali utakaa siku mbili bila kula,kumbe wapi..Am kidding![]()













Baki hivyo hivyo,ukinenepa sana kupungua ni kazi ajabu..mimi kazi yangu ni kuangalia tu vyakula vyenu
Mimi huyu nikae bila kula,Mimi!
Never
Nataka kuongeza mwili,nifundishe mbinu rahisi za kuongeza mwili
Halafu mbona sioni ukipost,au wewe mchoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kubaki hiviBaki hivyo hivyo,ukinenepa sana kupungua ni kazi ajabu..mimi kazi yangu ni kuangalia tu vyakula vyenu

Mbinu rahisi ni kuongeza kula,kama mwili wako una shukrani utanenepa tu..Supusupu,mayai,wanga kiasi..utanenepa tuSitaki kubaki hivi
Nataka niongezeke kidogo tu japo kilo 5-10.
Nipe mbinu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usinambie mbinu ya kula.Mbinu rahisi ni kuongeza kula,kama mwili wako una shukrani utanenepa tu..Supusupu,mayai,wanga kiasi..utanenepa tu
Ndagha mukamu nene nahobhoka aketefu challengeNahobhoka pakukubhona Sona panu.
Nune ngumpalisha uchala,ngweshela
Akundula amashiku ghoshi,ndi mukafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaNdagha mukamu nene nahobhoka aketefu challenge View attachment 1455484
Sent using Jamii Forums mobile app








sidhani kama kuna mbinu nyingine nzuri tofauti na hii..
sidhani kama kuna mbinu nyingine nzuri tofauti na hii..

Kuna vidonge lakini siwezi kukuambia,maana sio rasmi na vinaweza kuleta complication nyingi..Am sorry
Complications zipi hizo?Kuna vidonge lakini siwezi kukuambia,maana sio rasmi na vinaweza kuleta complication nyingi..Am sorry
Lolinfertility(utasa) n.k










