ni wiji.Ni usafu unu..?
Jr![]()
enheeeNee uwo uwo
Jr![]()
Huo ugali unakula peke yako?
Duh! Basi simu yangu inanionyesha bonge la ugali
JamaniDuh! Basi simu yangu inanionyesha bonge la ugali





(Au tumbo langu kubwa
)Dah! Nahis Utakua na tumbo kubwaJamani
Sema kwa vile niliweka katika vipande viwili.
Ni mdogo(Au tumbo langu kubwa
)
Sent using Jamii Forums mobile app

Dah! Nahis Utakua na tumbo kubwa
(Just kidding)



umejuaje nina bonge la tumbo
(joking)Aisee! Natamani nikuone hilo, tumbo lako kwakweliumejuaje nina bonge la tumbo
(joking)
Nina tumbo dogo kupita maelezo..ukiliona hutaamini kama ni Mimi ninayekula vyote hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeka huo umenikumbusha mbali enzi hizo mnakula pilau lazima liwekwe kwenye mkeka kama huo alafu raha ya pilau ule na mkonoWali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona utashangaa.Aisee! Natamani nikuone hilo, tumbo lako kwakweli
Raha ya chakula ukae kwenye mkeka namna hiyo uleMkeka huo umenikumbusha mbali enzi hizo mnakula pilau lazima liwekwe kwenye mkeka kama huo alafu raha ya pilau ule na mkono
Ila huo msosi wako ni dawa kabisa dhidi ya corona!


