Hahaha aah katika matunda ya kuheshimiwa Parachichi lipo miongoni mwao, haliwezi kupelekwa maabaraRaha ya chakula ukae kwenye mkeka namna hiyo ule
Hahaha..siku wakichukua sampuli ya avocado ikapelekwa maabara ikatest +ve covid19 Mimi nimekwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu, sharti moja la kua na kitambi utakua unakosea
Nakula kila kitu lakini still tumbo langu ni dogo sanaKuna kitu, sharti moja la kua na kitambi utakua unakosea
HakikaHahaha aah katika matunda ya kuheshimiwa Parachichi lipo miongoni mwao, haliwezi kupelekwa maabara



Kabla kuanza hua unasali kabla?
Kwanza mkulu mwenyewe katutangazia corona imekwisha na jumapili ni sherehe na shamrashara za ushindi huo.


Naomba kidogoWali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app

Wale mlioko dar,tumieni chance hiyo,Kwanza mkulu mwenyewe katutangazia corona imekwisha na jumapili ni sherehe na shamrashara za ushindi huo.
Tanzania Nakupenda nchi yangu![]()




Sasa mimi niko pwani hii inenikosa kwakweli

Ndio mana.!
Ndio mana.!
Habari za asubuhi






Wala sio sababu.Asante.
Dah lutefuWali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app


Sasa pwani Karibu hapoSasa mimi niko pwani hii inenikosa kwakweli![]()
