Kwa hisani ya google ila hawa majamaa hawa hahaha eti na vi-rosemary hapo juu vya kudanganyia toto.Hii mihogo ni 5 star by just looking on it
Juzi nikapika samaki acha nizidishe fish masala wakati wa kumkaanga mbaya zaidi nikapika wali chumvi ikazidi. Haha ilibidi Nile tu maana sikuwa na ujannja.
Hii imekaa vizuri!



I will try this

Sio mtamu wala nini 😛